Ufafanuzi msingi wa vuvuwaa katika Kiswahili

: vuvuwaa1vuvuwaa2

vuvuwaa1

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kuwa na uvuguvugu; kuwa na joto kidogo k.v. kwa maji au maziwa.

Matamshi

vuvuwaa

/vuvuwa:/

Ufafanuzi msingi wa vuvuwaa katika Kiswahili

: vuvuwaa1vuvuwaa2

vuvuwaa2

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kuwa kimya kama mtu mwenye mawazo au fikira.

    duwaa, pumbaa, shangaa, ajabia

Matamshi

vuvuwaa

/vuvuwa:/