Ufafanuzi wa waama katika Kiswahili

waama

kiunganishi

  • 1

    kwa hakika; kwa kweli.

    ‘Waama jambo hili limenikasirisha sana’

Asili

Kar

Matamshi

waama

/wa:ma/