Ufafanuzi msingi wa waka katika Kiswahili

: waka1waka2waka3

waka1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  toa mwangaza au nuru.

  ‘Taa inawaka’
  ‘Jua linawaka’

 • 2

  toa miali.

Matamshi

waka

/waka/

Ufafanuzi msingi wa waka katika Kiswahili

: waka1waka2waka3

waka2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  anza kufanya kazi kwa mashine.

Matamshi

waka

/waka/

Ufafanuzi msingi wa waka katika Kiswahili

: waka1waka2waka3

waka3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

Matamshi

waka

/waka/