Ufafanuzi wa wekeza katika Kiswahili

wekeza

kitenzi elekezi

  • 1

    tumia fedha au mali katika biashara kwa lengo la kuzalisha zaidi.

Matamshi

wekeza

/wɛkɛza/