Ufafanuzi wa wepesi katika Kiswahili

wepesi

nominoPlural wepesi

  • 1

    hali ya kutokuwa na ugumu.

    sahali, urahisi, nafuu

  • 2

    hali ya kutokuwa na uzito kuchukulika.

Matamshi

wepesi

/wɛpɛsi/