Ufafanuzi wa weu katika Kiswahili

weu

nominoPlural nyeu

  • 1

    sehemu ya ardhi iliyolimwa tayari kwa kupandwa mbegu.

    ucheu

Matamshi

weu

/wɛu/