Ufafanuzi msingi wa wika katika Kiswahili

: wika1wika2

wika1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    lia kama jogoo.

Matamshi

wika

/wika/

Ufafanuzi msingi wa wika katika Kiswahili

: wika1wika2

wika2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ‘Juma ndiye anayewika pale ofisini’

Matamshi

wika

/wika/