Ufafanuzi msingi wa yamini katika Kiswahili

: yamini1yamini2

yamini1

nominoPlural yamini

  • 1

    mkono wa kulia.

Matamshi

yamini

/jamini/

Ufafanuzi msingi wa yamini katika Kiswahili

: yamini1yamini2

yamini2

nominoPlural yamini

  • 1

    tendo au maneno ya kuapa.

    ‘Ndugu wa yamini’
    kiapo, kasama

Matamshi

yamini

/jamini/