Ufafanuzi wa yonga katika Kiswahili

yonga

kitenzi sielekezi

  • 1

    yumbayumba kwa sababu ya urefu.

  • 2

    nepanepa, hasa kwa kwenda huku na huku.

    ‘Mwendo wake ni wa kuyonga’

Matamshi

yonga

/jɔnga/