Ufafanuzi wa yungi katika Kiswahili

yungi

nominoPlural yungi

  • 1

    namna ya ndege mweupe anayekula kupe.

Matamshi

yungi

/jungi/