Ufafanuzi wa zafarani katika Kiswahili

zafarani, zaafarani

nomino

  • 1

    majani yenye nyuzinyuzi za rangi ya manjano ambayo hutumika kutengenezea wino au kuungia chakula k.v. biriani au halua.

Asili

Kar

Matamshi

zafarani

/zafarani/