Ufafanuzi msingi wa zana katika Kiswahili

: zana1zana2

zana1

nomino

  • 1

    chombo kinachohitajika kufanyia kazi fulani.

    ‘Zana za vita’
    ‘Zana za kilimo’
    kifaa, chombo

Asili

Kar

Matamshi

zana

/zana/

Ufafanuzi msingi wa zana katika Kiswahili

: zana1zana2

zana2

nomino

Matamshi

zana

/zana/