Ufafanuzi msingi wa zengea katika Kiswahili

: zengea1zengea2

zengea1

kitenzi sielekezi

  • 1

    karibia mtu, kitu au mahali pasi na kukaribishwa, agh. kwa nia mbaya k.v. kudoea kitu au kukiiba.

Matamshi

zengea

/zɛngɛja/

Ufafanuzi msingi wa zengea katika Kiswahili

: zengea1zengea2

zengea2

kitenzi elekezi

Matamshi

zengea

/zɛngɛja/