Ufafanuzi wa ziga katika Kiswahili

ziga

nomino

  • 1

    chombo k.v. mkungu au bunguu kinachotiwa moto na mafusho ili kufukizia mgonjwa.

Matamshi

ziga

/ziga/