Ufafanuzi wa zilizala katika Kiswahili

zilizala

nomino

  • 1

    tetemeko la ardhi.

    mtetemeko, tetemeko

Asili

Kar

Matamshi

zilizala

/zilizala/