Ufafanuzi wa zima katika Kiswahili

zima

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya kitu kisiendelee kuwaka au kutoa mwangaza.

  ‘Zima swichi ya gari’
  ‘Zima taa’
  ‘Zima moto’
  gongomea, funga

Matamshi

zima

/zima/