Ufafanuzi wa zingatio katika Kiswahili

zingatio

nominoPlural mazingatio

  • 1

    jambo ambalo mtu anatakiwa alitie maanani na kulikumbuka.

    taamuli, tafakuri

Matamshi

zingatio

/zingatijɔ/