Ufafanuzi wa zinguo katika Kiswahili

zinguo

nominoPlural mazinguo

Kidini
  • 1

    Kidini
    kisomo cha kumwombea mtu ili Mwenyezi Mungu amwepushe na balaa au madhara.

Matamshi

zinguo

/zinguwɔ/