Ufafanuzi msingi wa zinza katika Kiswahili

: zinza1zinza2

zinza1

kitenzi elekezi

  • 1

    panga bidhaa kwa ajili ya kuuza.

  • 2

    umbua mwizi au mkorofi hadharani.

Matamshi

zinza

/zinza/

Ufafanuzi msingi wa zinza katika Kiswahili

: zinza1zinza2

zinza2

kitenzi elekezi

  • 1

    patia mgonjwa chakula maalumu.

Matamshi

zinza

/zinza/