Ufafanuzi wa zoesha katika Kiswahili

zoesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya mtu afanye kitu mara kwa mara ili aweze kukifanya vyema.

Matamshi

zoesha

/zɔɛ∫a/