Ufafanuzi msingi wa zohali katika Kiswahili

: zohali1zohali2

zohali1

nominoPlural zohali

  • 1

    sayari mojawapo inayozunguka jua yenye peteo na miezi kumi.

Asili

Kar

Matamshi

zohali

/zɔhali/

Ufafanuzi msingi wa zohali katika Kiswahili

: zohali1zohali2

zohali2

nominoPlural zohali

  • 1

    uzito au uchelewaji wa kufanya jambo.

    usiri, ajizi, mushkili

Matamshi

zohali

/zɔhali/