Ufafanuzi wa zorota katika Kiswahili

zorota

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya uchelewevu; fanya ugoigoi.

Matamshi

zorota

/zɔrɔta/