Ufafanuzi wa zungumzia katika Kiswahili

zungumzia

kitenzi elekezi

  • 1

    jadiliana au pashana habari juu ya jambo fulani.

Matamshi

zungumzia

/zungumzija/