Ufafanuzi wa zuumu katika Kiswahili

zuumu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na nia ya kufanya jambo; kuwa na azma; tia nia.

Asili

Kar

Matamshi

zuumu

/zu:mu/