Ufafanuzi wa zuzu katika Kiswahili

zuzu

nominoPlural mazuzu

  • 1

    mtu asiyetumia akili yake; mtu anayeshindwa kufahamu jambo hata akielezwa.

    mpumbavu, renge, bunga, nyange, tobwe, baghami, bongolala

Matamshi

zuzu

/zuzu/