Ufafanuzi wa -anana katika Kiswahili

-anana

kivumishi

  • 1

    -enye wororo; -enye uzuri; -enye upole.

    ‘Upepo mwanana’

Matamshi

-anana

/anana/