Ufafanuzi wa -ema katika Kiswahili

-ema

kivumishi

 • 1

  -enye uzuri.

  safi, sheshe, taibu

 • 2

  -enye kupendeza.

 • 3

  -a kufaa.

  ‘Ana tabia njema’
  ‘Sijisikii vyema hali yangu si nzuri’

Matamshi

-ema

/ɛma/