Ufafanuzi wa -ovu katika Kiswahili

-ovu

kivumishi

  • 1

    -enye ubaya; -enye uovu.

    ‘Amefanya mambo maovu’
    -baya, -wi

Matamshi

-ovu

/ɔvu/