Ufafanuzi wa -pevu katika Kiswahili

-pevu

kivumishi

 • 1

  -enye kukomaa; -enye kupea.

  ‘Mtoto wake amekuwa mpevu’

 • 2

  -enye kuiva.

  ‘Embe -pevu’
  -bivu

Matamshi

-pevu

/pɛvu/