Ufafanuzi wa -sikivu katika Kiswahili

-sikivu

kielezi

  • 1

    -enye kusikia na kutii.

    ‘Mtoto msikivu’
    -elekevu

Matamshi

-sikivu

/sikivu/