Ufafanuzi wa -takatifu katika Kiswahili

-takatifu

kivumishi

Kidini
  • 1

    Kidini
    -enye kutakasika na dhambi au makosa.

    ‘Roho Mtakatifu’
    ‘Kurani takatifu’

Matamshi

-takatifu

/takatifu/