Ufafanuzi wa Kiswahili katika Kiswahili

Kiswahili

nomino

  • 1

    lugha ya Kibantu yenye asili ya mwambao wa pwani ya Afrika Mashariki yenye lahaja mbalimbali na ambayo inatumiwa na watu wengi wa Afrika ya Mashariki na ya Kati na vilevile wa kimataifa.

Matamshi

Kiswahili

/kiswahili/