Ufafanuzi wa Rahmani katika Kiswahili

Rahmani

nominoPlural Rahmani

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina litumikalo kumtaja Mwenyezi Mungu linaloashiria rehema zake zilizo nyingi kulingana na imani ya Waislamu.

Asili

Kar

Matamshi

Rahmani

/rahmani/