Ufafanuzi wa abjadi katika Kiswahili

abjadi

nominoPlural abjadi

  • 1

    orodha ya herufi za Kiarabu zilizopangwa kwa utaratibu maalumu.

    abtathi

  • 2

    alfabeti

Asili

Kar

Matamshi

abjadi

/abʄadi/