Ufafanuzi wa abtali katika Kiswahili

abtali

nomino

  • 1

    kishairi watu hodari katika vita.

  • 2

    majagina, mashujaa, majasiri.

    shujaa, nguli

Asili

Kar

Matamshi

abtali

/abtali/