Ufafanuzi wa acha! katika Kiswahili

acha!

kiingizi

  • 1

    neno la kuonyesha mshangao na furaha.

    ‘Acha wee!’

Matamshi

acha!

/at∫a/