Ufafanuzi wa achari katika Kiswahili

achari, achali

nominoPlural achari

  • 1

    mchanganyiko wa k.v. pilipili, siki, chumvi, ndimu, mbirimbi au embe unaotumiwa kuongeza ladha ya chakula.

Asili

Khi

Matamshi

achari

/at∫ari/