Ufafanuzi wa adha katika Kiswahili

adha

nominoPlural adha

  • 1

    jambo linalosumbua au kuleta shida.

    kero, mashaka, usumbufu, dhiki, karadha, shida, udhia, harubu, shabuka, makuruhu, taabu

Asili

Kar

Matamshi

adha

/aða/