Ufafanuzi wa adhimisha katika Kiswahili

adhimisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya sherehe ya kukumbuka tukio fulani k.v. siku ya kuzaliwa, siku ya kupata uhuru, n.k..

    ‘Adhimisha siku ya kuzaliwa’

Asili

Kar

Matamshi

adhimisha

/aðimi∫a/