Ufafanuzi msingi wa adibu katika Kiswahili

: adibu1adibu2

adibu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fundisha mwenendo mwema au tabia njema.

Asili

Kar

Matamshi

adibu

/adibu/

Ufafanuzi msingi wa adibu katika Kiswahili

: adibu1adibu2

adibu2

kivumishi

  • 1

    -enye tabia njema.

Asili

Kar

Matamshi

adibu

/adibu/