Ufafanuzi wa adimika katika Kiswahili

adimika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    patikana kwa uchache au kwa nadra.

    ghibu, ghalika, tindika

Asili

Kar

Matamshi

adimika

/adimika/