Ufafanuzi msingi wa afriti katika Kiswahili

: afriti1afriti2

afriti1

nominoPlural mafriti

Kidini
 • 1

  Kidini
  jini mbaya anayedhuru watu.

Asili

Kar

Matamshi

afriti

/afriti/

Ufafanuzi msingi wa afriti katika Kiswahili

: afriti1afriti2

afriti2

nominoPlural mafriti

Kidini
 • 1

  Kidini
  mtu anayedanganya watu ili kuwaingiza katika uovu.

  ‘Mtu huyu ni afriti sana’
  mwovu

 • 2

  Kidini
  mtu mjanja.

Asili

Kar

Matamshi

afriti

/afriti/