Ufafanuzi wa afueni katika Kiswahili

afueni

nominoPlural afueni

  • 1

    nafuu ya ugonjwa au maumivu.

    shufaa

Asili

Kar

Matamshi

afueni

/afuwɛni/