Ufafanuzi wa aibisha katika Kiswahili

aibisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    fanyia mtu jambo la kumvunjia heshima.

    tehemu, hizi, tuzua, fedhehi, adhiri, dhili, dunisha, tweza, umbua

Asili

Kar

Matamshi

aibisha

/ajibi∫a/