Ufafanuzi wa ajuza katika Kiswahili

ajuza

nomino

  • 1

    mwanamke mzee sana.

    bikizee

Asili

Kar

Matamshi

ajuza

/aʄuza/