Ufafanuzi wa akiolojia katika Kiswahili

akiolojia

nominoPlural akiolojia

  • 1

    taaluma ya mambo ya kale na ugunduzi wa vitu k.v. makaburi, majengo, zana, n.k..

  • 2

    maisha na utamaduni wa kale.

Asili

Kng

Matamshi

akiolojia

/akiɔlɔʄija/