Ufafanuzi wa alasauti katika Kiswahili

alasauti

nominoPlural alasauti

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sehemu ya kutolea sauti za lugha iliyomo ndani ya kinywa cha binadamu k.v. ulimi, ufizi, kaakaa, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

alasauti

/alasawuti/