Ufafanuzi wa aliki katika Kiswahili

aliki

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu juu na kuacha kining’inie.

    angika, ning’iniza

Asili

Kar

Matamshi

aliki

/aliki/