Ufafanuzi wa amonia katika Kiswahili

amonia

nominoPlural amonia

  • 1

    gesi yenye harufu kali sana inayotumiwa kutengenezea baruti au mbolea ya chumvichumvi.

Asili

Kng

Matamshi

amonia

/amɔnija/