Ufafanuzi wa amrisha katika Kiswahili

amrisha

kitenzi elekezi

  • 1

    lazimisha mtu afanye jambo fulani.

    amuru, hukumu, agiza

Asili

Kar

Matamshi

amrisha

/amri∫a/